FAHAMU UNDANI:
JUMATATU DESEMBA 15 Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI itafanyika ili kupanga Mechi 8 ztkazochezwa nje na ndani na miongoni mwa Timu hizo ipo Real Madrid, Mabingwa Watetezi, pamoja na Timu nyingine 8 zilizowahi kutwaa Kombe hili.
TARATIBU ZA DROO:
-Vipo Vyungu viwili vya Timu 8 kila moja na Chungu Namba 1 kina Timu 8 Washindi wa Makundi na Chungu Namba 2 zipo Timu 8 Washindi wa Pili wa Makundi.
-Droo itapambanisha Timu moja toka Chungu Na 1 na nyingine toka Chungu Na 2 lakini Timu za Nchi moja na Timu zilizotoka Kundi moja hazitakutanishwa.
-Droo itaendeshwa na Katibu Mkuu wa UEFA, Gianni Infantino, Mkurugenzi wa Mashindano, Giorgio Marchetti, pamoja na Balozi maalum wa Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, Karl-Heinz Riedle.
-Mechi za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 zitachezwa kwa mikondo miwili ya Nyumbani na Ugenini hapo Februari 17/18 na 24/25 huku Mardiano yakiwa Machi 10/11 na 17/18.
-Washindi wa Makundi wataanza Mechi Ugenini na kurudiana Nyumbani kwao.
++++++++++++++++++++++++++++++++
IMU ZILIZOFUZU RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
++++++++++++++++++++++++++++++++
WASHINDI WA MAKUNDI:
KUNDI A:Club Atlético de Madrid(ESP)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Basel, Leverkusen, Arsenal, Manchester City, PSG, Schalke, Shakhtar
KUNDI B:Real Madrid CF(ESP, holders)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Leverkusen, Arsenal, Manchester City, PSG, Schalke, Shakhtar
KUNDI C: AS Monaco FC(FRA)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Arsenal, Manchester City, Schalke, Shakhtar
KUNDI D:Borussia Dortmund(GER)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Manchester City, PSG, Shakhtar
KUNDI E: FC Bayern München(GER)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Arsenal, PSG, Shakhtar
KUNDI F: FC Barcelona(ESP)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Leverkusen, Arsenal, Manchester City, Schalke, Shakhtar
KUNDI G:Chelsea FC(ENG)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Leverkusen, PSG, Shakhtar
KUNDI H:FC Porto(POR)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Leverkusen, Arsenal, Manchester City, PSG, Schalke
WASHINDI WA PILI WA MAKUNDI:

KUNDI |
MSHINDI WA 1 |
MSHINDI WA 2 |
A |
Atletico Madrid |
Juventus |
B |
Real Madrid |
Basel |
C |
Monaco |
Bayer Leverkusen |
D |
Borussia Dortmund |
Arsenal |
E |
Bayern Munich |
Manchester City |
F |
Barcelona |
PSG |
G |
Chelsea |
Schalke |
H |
FC Porto |
Shakhtar Donetsk |
WASHINDI WA MAKUNDI:
KUNDI A:Club Atlético de Madrid(ESP)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Basel, Leverkusen, Arsenal, Manchester City, PSG, Schalke, Shakhtar
KUNDI B:Real Madrid CF(ESP, holders)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Leverkusen, Arsenal, Manchester City, PSG, Schalke, Shakhtar
KUNDI C: AS Monaco FC(FRA)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Arsenal, Manchester City, Schalke, Shakhtar
KUNDI D:Borussia Dortmund(GER)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Manchester City, PSG, Shakhtar
KUNDI E: FC Bayern München(GER)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Arsenal, PSG, Shakhtar
KUNDI F: FC Barcelona(ESP)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Leverkusen, Arsenal, Manchester City, Schalke, Shakhtar
KUNDI G:Chelsea FC(ENG)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Leverkusen, PSG, Shakhtar
KUNDI H:FC Porto(POR)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Juventus, Basel, Leverkusen, Arsenal, Manchester City, PSG, Schalke
WASHINDI WA PILI WA MAKUNDI:
KUNDI A:Juventus(ITA)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Real Madrid, Monaco, Dortmund, Bayern, Barcelona, Chelsea, Porto
KUNDI B:FC Basel 1893(SUI)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Atlético Madrid, Monaco, Dortmund, Bayern, Barcelona, Chelsea, Porto
KUNDI C:Bayer 04 Leverkusen(GER)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Atlético Madrid, Real Madrid, Barcelona, Chelsea, Porto
KUNDI D:Arsenal FC(ENG)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Atlético Madrid, Real Madrid, Monaco, Bayern, Barcelona, Porto
KUNDI E:Manchester City FC(ENG)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Atlético Madrid, Real Madrid, Monaco, Dortmund, Barcelona, Porto
KUNDI F:Paris Saint-Germain(FRA)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Atlético Madrid, Real Madrid, Dortmund, Bayern, Chelsea, Porto
KUNDI G:FC Schalke 04(GER)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Atlético Madrid, Real Madrid, Monaco, Barcelona, Porto
KUNDI H:FC Shakhtar Donetsk(UKR)
WANAWEZA KUPANGWA NA: Atlético Madrid, Real Madrid, Monaco, Dortmund, Bayern, Barcelona, Chelsea

source:sokaintanzania
0 comments :
Post a Comment