-->

DONDOO ZA AFYA:HIVI NDIVYO ALLERGY YA VYAKULA INAVYOSABABISHA MAGONJWA SUGU KWA BINAADAMU
























Ndg msomaji wa makala zangu leo ningependa kukuelimisha jinsi vyakula tunavyokula vinavyohatarisha maisha yetu. Ni dhahiri kuwa vyakula tunavyokula vina athiri utendaji kazi wa kawaida wa mifumo ya miili yetu. Hivyo kuna vyakula tunavyokula vina enda mwilini vinaenda kusababisha mpambano na miili yetu na kusababisha ALLERGY au kuvimba kwa kuta za mfumo wa mmeng'enyo wa chakula(inflammation).
Kwa mfano vyakula kama vya ngano mfano mikate,chapati, mandazi nk vinatokana na aina ya ngano iitwayo FRANKEN WHEAT. Hii ngano iligunduliwa miaka 50 iliyopita na ndio inayo angamiza kizazi hiki ambacho kinapenda kula vyakula vyenye EXPIRE DATE. Ngano hii ina GLUTEN ambayo ni protein ambayo kumeng'enywa kwake ni kazi sana katika mfumo wa chakula na hivyo baada ya kula vyakula hivi mpambano huanza kutokea na hatimaye adhari hutokea kwenye kuta za utumbo kuvimba kwa kuta na kusababisha hii protein kupenya na kuingia katika mfumo wa damu na hatimaye allergy inasambaa mwili mzima.
Dalili moja wapo ya kuwa unapata allergy ya vyakula hivi ni tumbo kujaa gesi,kuunguruma,kuongezeka uzito kila siku.



Kusambaa kwa allergy mwili mzima kunasababishwa na kinga ya mwili kupambana na kiini hicho yani gluten na hatimaye kusababisha INSULIN kutofanya kazi ipasavyo mwisho wake kusababisha KISUKARI AINA YA PILI kitokanacho na INSULIN RESISTANCE. Insulin sio mbaya kwani ndicho kinachosawazisha sukari kwenye damu lakini kiwango kikiongezeka  hiki kichocheo kinachohifadhi mafuta(fat storage hormone) na kukufanya uzeeke mapema.
KAMA TAYARI WEWE NI MPENZI WA VYAKULA HIVI HEBU JARIBU KUVIEPUKA UTAONA UNAPUNGUA VIZURI  NA KUPATA MANUFAA MENGI YA KIAFYA
Allergy hizi zisababishwazo na vyakula pia ni chanzo kikubwa cha magonjwa kama yafuatayo
~Joint kuuma na kuvimba
~Ini kushindwa kuondoa sumu vizuri
~Choo kigumu(constipation)
~Kutokwa damu njia ya haja kubwa(IRRITABLE BOWEL SYNDROME)
~Magonjwa yanayoshambulia mwili wenyewe(autoimmune disorder)
TATIZO NI KWAMBA TUMEKUWA TUKILA VYAKULA HIVI MARA KWA MARA KWA SIKU NA HATIMAYE MARUDIO HAYA KUSABABISHA MAGONJWA SUGU.
~NJIA TATU ZA KUBAINI KAMA UNA ALLERGY NA VYAKULA~
1. KIPIMO CHA DAMU
~Hiki ni kipimo kitakacho baini kama una allergy na vyakula vyovyote kwa kuangalia wingi wa IgG. Hivi ni vichocheo ambavyo hutolewa kupambana na hicho chakula unachokula. Hivyo kutana na daktari ambaye anaweza kukupa maelekezo na namna ya kupata kipimo cha kuangalia wingi wa hizi ANTBODIES
2. Acha kula vyakula vya mikate kwa Week kama sita ili uone mabadiliko katika afya yako. Kwani ndivyo visababishi vikubwa vya kuongezeka uzito,insulin kutofanya kazi,mizunguko ya hedhi mibaya na kisukari aina ya pili.
3. Epuka vyakula vikuu vinavyosababisha allergy kama vifuatavyo.
~Mikate(gluten)
~Maziwa ya ngombe
~Corn
~Mayai
~Vyakula vya kusindika
~Vyakula vya viwandani
~Vyakula vya sukari nyingi.
Ndg msomaji kama wewe una uzito kupita kiasi,kitambi,vyama uzembe,kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya moyo na cancer tunakushauri kuepuka vyakula hivi na kuanza kula vyakula vya asili ambavyo baba zetu walikula.
REMEMBER
Chakula ndio tiba mahususi ya magonjwa yasiyo yakuambukiza

NAMNA YA KUONDOA TATIZO HILI NA KURUDISHA AFYA YAKO BILA KUTUMIA DAWA. TUMIA JUICE HII KILA SIKU MARA TATU KWA SIKU

.
MAHITAJI

1.       1.TANGO MOJA
2.       2.KIPANDE KIMOJA CHA TANGAWIZI
3.       3.½ GLASI YA JUICE YA  NANASI
4.   4.    LIMAO
5.       5. ½ GLASI YA JUICE YA APPLE 
6.       6. KIKOMBE KIMOJA CHA JUICE YA SPINACHI
7.       7. VIPANDE VINNE VYA CELERY 
CHUKUA MAHITAJI YOTE HAYO SAGA KWENYE BLENDA KWA DAKIKA TANO KISHA TUMIA ASUBUHI MCHANA NA JIONI.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment