-->

HIVI NDIVYO JESHI LA POLISI LILIVYOJIPANGA KUZUIA VURUGU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Kamanda Leonard Paulo kulia akiandaa maafisa wake kwa ajili ya majumuku ya usimamizi na kuimarisha ulinzi na usalama katika uchaguzi wa serikali za mitaa kaatika kituo kikuu cha polisi Morogoro.


 Askari wakiwa tayari.
Kamanda akikagua magari kabla ya kuyaruhusu kwenda katika vituo mbaalimbali vya kupigia kura katika Manispaa ya Morogoro
 Baadhi ya maafisa wa jeshi hilo.
Wananchi wakiwa katika mistari mirefu ya kwenda kupiga kura ya kuchagua mwenyekiti wa serikali ya mtaa kata ya Chamwino Morogoro.
Mkazi wa Chamwino akihakikiwa jina katika daftari ili kupewa karatasi za
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment