Viongozi waliosimamishwa uanachama kwa mujibu wa katiba ya chama
ibara ya 85 (5)(C) hadi hapo watakapopata fursa ya kujieleza mbele ya
Baraza Kuu ni hawa wafuatao.
1. Prof Lipumba 2. Magdalena Sakaya 3. Abdul Kambaya 4. Ashura Mustapha 5. Omar Mhina 6. Thomas Malima 7. Kapasha Kapasha 8. Maftaha Nachuma 9. Mohammed Habib Mnyaa 10. Haroub Shamis 11. Mussa Haji Foum
0 comments :
Post a Comment