Wachezaji
wa Tanzania na Kenya wakiwa katika mashindano ya wabunge wa jumuiya ya
Afrika mashariki leo, katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume jijini
Arusha, mechi hiyo ilivuta hisia za wakazi wa jiji hilo waliomiminika
kuja kushuhudia wabunge hao wakimenyana uwanjani, baada ya dakika ya
tano bunge la kenya walijipatia bao la kwanza, bao lililofungwa na
Mh.Steven Nyatta na hatimaye Tanzania kusawazisha dakika ya 24 kwa njia
ya penalt baada ya Mh.Mbunge Joshua Nassari kudondoshwa eneo la hatari
kwa kugongwa na mlinda mlango wa kenya Kega Kanin.
Mlinda mlango wa Timu ya kenya Kega Kanin akijaribu kuzuia goli lililopatikana kwa njia ya penalt katika dakika ya 24
0 comments :
Post a Comment