-->

DONDOO ZA AFYA:YAFAHAMU MAAJABU YA JUICE YA BITTERMELON(TIKITI MAJI DUME)


Tunda hili limekuwa likitumika kwa wingi sana katika nchi za china na japani hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa kutibu magonjwa sugu mwilini.
Hadi sasa nchi kama china kupitia kiwanda chake kikubwa duniani kinachotengeneza dawa kimetengeneza dawa iitwayo andebyte inayotokana na BITTER MELON hii ni kutokana na Tafiti mbali mbali zinazohusu tikiti maji dume.

~Tikiti maji dume lina uwezo mkubwa wa kutibu kabisa kisukari aina ya pili pia ina viambata vizuri ambavyo vina uwezo mkubwa wa kushusha na kusawazisha sukari. Viambata hivi ni Polypeptide-P,Vicine na Charantin. Hivyo utumiapo juice hii kama wewe ni mgonjwa wa kisukari itakufanya sukari yako kuwa katika hali sawa na kuepuka kabisa magonjwa yatokanayo na kisukari kama vidonda sugu,kufa kwa figo,kuishiwa nguvu za kiume,kushindwa kuona,kiharusi nk
~Pia utafiti una onesha kuwa bitter melon uwezo mkubwa wa kuua kabisa seli za kansa za kongosho,matiti, na kansa ya tezi dume.
~Pia ina uwezo mkubwa wa kuua virusi mbali mbali na kupunguza maambukizi ya HIV na hivyo kuimarisha kinga ya mwili wako
~Pia ina uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya mmeng'enyo wa chakula na kuondoa tatizo la choo kigumu yani constipation na kukuepusha na magonjwa mengine yatokanayo na constipation hii ni kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha CELLULOSE.
Kwa ujumla bitter melon ina kiwango cha juu cha vitamin C ambayo hupambana na maambukizi ya mwili na kuondoa sumu mwilini,pia ina viini lishe vingi sana na flavonoids.
Kutokana na uchungu wake tunashauri utumiapo juice hii unaweza changanya na Tangawizi,limao,nanasi.karoti,tango,apple. Hayo ni baadhi ya matunda ambayo yatakufanya ufurahie juice hii na uone maajabu yake.
Unapochagua bitter melon hakikisha kuwa unatafuta ambalo ni gumu na halija iva kabisa kwani yale yaliyo iva ni machungu sana yanaweza kukushinda kunywa. Chagua lenye langi ya kijani na ambalo halina njano au wekundu wowote.
Ni nzuri sana na inatibu magonjwa haya
~Kisukari kwani hushusha sukari na kutibu kabisa kisukari
~Choo kigumu (constipation)
~Inapandisha kinga ya mwili
~Inaondoa sumu mwilini na kuboost radha ya chakula
~Inafaa kwa watu wenye kansa mbali mbali
NOTE: Hauruhusiwe kutumia juice ya bitter melon kama wewe ni mjamzito kwani inaweza kuathiri kiwango cha sukari ambapo unapokuwa mja mzito unahitaji lishe ya kutosha kwako wewe na mtoto hivyo unaweza kumdhoofisha mtoto.
Watu wengi wenye kisukari wanaotumia juice hii imeonesha maajabu yake hadi sasa. Jifunze kutumia hii juice angalau glasi moja asubuhi na jioni glasi moja nina imani kisukari utakisikia kwa jirani tu. Kama huna uwezo wa kupata hili tunda na tayari umesha athiriwa na kisukari unaweza kunipigia 0767074124 Dr mkumbo na tunaweza kukupatia vidonge vilivyo tengenezwa kitaalam kwa kutumia bitter melon pekee ni asilimia 100% natural kabisa.
Imeandaliwa na Mkumbo K Boaz
0767074124
Tembelea

www.doctorboaz.blogspot.com

My new underconstruction huge website

www.drboaz.sc.tz
Facebook:KB mkumbo
USHAURI
As a doctor I can tell you that most people don't WANT to hear about the "primary cause" of their disease. They KNOW why they have high blood pressure, high cholesterol, heart disease, liver disease, etc. They don't want to do anything different in their lifestyles. It's much easier to just take a pill. It's not JUST the fault of the medical profession. It's the fault of the people much of the time as well.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment