Christian Ronaldo katika mwaka huu wa 2014 ukimlinganisha na Lionel Messi kumekuwa na utofauti
MECHI ZA KWENYE VILABU NA NA MECHI ZA TAIFA
Takwimu zilizotolewa katika mtandao mkubwa na unaoaminika kama vile mtandao wa MESSIVSRONALDO Ikionyesha
katika mechi za ndani ya club+za taifa
Messi amecheza mechi 65 na kufanya assist 21 na kutupia magoli 56
Ronaldo amecheza mechi 58 na kufanya assist 20na kutupia magoli 61
HUKU KATIKA MECHI ZA KWENYE VILABU TUPU
Messi amecheza mechi 51 na kufanya assist 19 na kutupia goli 48
Ronaldo amecheza mechi 49 na kufanya assist 19 na kutupia goli 56
0 comments :
Post a Comment