
Baada ya
Ronaldo kufunga magoli 3 siku ya jana,Leo hii Leo Messi amejibu mapigo
baada ya kufunga magoli 3 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Espanyol.Messi
alifunga magoli hayo
matatu dakika ya 45,50 na 81.Magoli hayo 3 ya Messi yameisogeza
Barcelona mpaka nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi kuu Spain
inayoongozwa na Real Madrid.
0 comments :
Post a Comment