Katika
hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Li
Zhenghua 24, amekutwa akifanya jaribio la kumla Mtoto wake aliyejifungua
siku chache zilizopita, baada ya kumkuta taya yake ikiwa imenasa
kuzunguka Mkono wa Mtoto wake.
Tukio hilo la ajabu lilitokea katika Hospitali iliyoko Shenzhen Kusini mwa jimbo la Guangdong, China ambapo mwanamke huyo alifikishwa kujifungua na baadaye wahudumu wa Hospitali kufanya jitihada za kutafuta ndugu zake
0 comments :
Post a Comment