Arsenal
imefanikiwa kumaliza katika nafasi ya pili ya kundi D ,Ligi ya Mabingwa
Ulaya na kutinga hatua ya kumi na sita bora ya michuano hiyo ,kufuatia
ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wenyeji Galatasaray wa nchini Uturuki.
Lukas Podolski aliifungia the Gunners bao la kwanza katika dakika ya tatu ,kabla ya Aaron Ramsey kufunga bao la pili katika dakika ya 11 na la tatu katika dakika ya 29.
Lukas Podolski aliifungia the Gunners bao la kwanza katika dakika ya tatu ,kabla ya Aaron Ramsey kufunga bao la pili katika dakika ya 11 na la tatu katika dakika ya 29.
CHANZO:BBC
0 comments :
Post a Comment