-->

SAMATA.ULIMWENGU,NGASA,SURE BOY NA JONAS MKUDE KUGOMBANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA TANZANIA


Mrisho Ngassa, Mbwana Samata, Sure Boy, Thomas Ulimwengu, na Jonas Mkude wametajwa na mtandao wa Goal Com kugombea tuzo ya mchezaji bora wa Tanzania 2014. Je Unadhani nani anastahili kuwa mwanasoka bora wa Tanzania mwaka huu?
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment