TANESCO YATANGAZA MGAWO WA UMEME WA SIKU TISA
Akizungumzia
mgawo huo, Meneja wa Mawasiliano Tanesco, Adrian Severin alisema
ukiondoa tatizo hilo la ukarabati wa miundombinu ya gesi, shirika lake
halina tatizo la kuilazimisha nchi kuingia katika mgawo kwa sasa.
Mikoa ambayo haitaathiriwa na mgawo huo kuwa ni Kagera, Ruvuma, Kigoma, Lindi, Mtwara na Wilaya ya Loliondo, Arusha.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi - Ijumaa 10 Aprili 2015.
MY TAKE:
Hivi karne hii bado nchi yetu inashughulikia migao ya umeme!!! Uchumi
utakuwa lini sasa? ELECTRICITY IS LIFE! UMEME NI MAISHA!! UMEME NI
UCHUMI!!
Zile nyimbo a kuwekeza kwenye umeme wa upepo ziliishia wapi? Na umeme wa jua je? @#Serikali_Sikivu.
Julius Sunday Mtatiro
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment