11 Aprili 2015 Imebadilishwa mwisho saa 13:42 GMT
Wanasayansi
nchini Poland wametengeza maji ambayo yakipakwa katika vazi linaloweza
kukinga risasi ,yanaweza kuzuia risasi mbali na dharubu inayosababishwa
na kasi yake kutosababisha madhara ndani ya mwili wa binaadamu.Maji hayo
hufanya kazi kwa kuwa magumu wakati risasi inapopiga na kufyonza risasi
hiyo pamoja na dharubu itakayosababishwa na kuisambaza katika kila eneo
la vazi hilo.
0 comments :
Post a Comment