-->

BASI LA AIR JODAN LAPATA AJALI NA KUUA MKOANI MWANZA



Abiria mmoja amefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa huku wawili kati yao hali zao zikielezwa kuwa ni mbaya kutokana na ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Air Jordan lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Dar es Salaam.


Chanzo cha ajali ni mwendokasi na ajali hiyo imetokea katika eneo la Nzega mkoani Tabora.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment