HEADLINES leo kuanzia kwenye TV kubwa
duniani.. radio, magazeti.. mitandaoni.. ishu kubwa kwenye michezo ni
ushindi wa nguvu waliopata Real Madrid..Ile Real Madrid VS Granada… matokeo yakawa 9-1.
Cristiano Ronaldo
nd’o jina la mchezo, kwenye hizo goli 9 zake pekeake ziko 5 yani..
labda hukumuona jamaa akiyapachika hayo magoli 5 wavuni.. nakusogezea
kipisi cha hii video uone hizo goli zote Ronaldo alivozisogeza wavuni mtu wangu.
0 comments :
Post a Comment