-->

WACHEZAJI WA SUNDERLAND WAPASHA NA JEZI ZENYE NEMBO YA KUITANGAZA TANZANIA KIMATAIFA KATIKA KIUTALII

Wachezaji wa klabu ya Ligi Kuu England ya Sunderland AFC walikuwa wakipasha moto misuli kabla ya kuivaa Chelsea ktk Ligi Kuu ambapo vinara hao wa Ligi walibanwa mbavu kwa sare ya 0-0.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment