Chadema Yatoa Siku 4 Kwa Jeshi la Polisi Ofisi zake Kuchomwa Moto
Arusha, Tanzania. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kimepeleka majina ya watu 5 kwa jeshi la polisi Mkoa wa Arusha ambapo watu hao wanadaiwa kuhusika kupanga mikakati ya kuchoma ofisi ya chama hicho mkoani Arusha.
Maofisa wa Chadema mkoani Arusha wamesema kwamba inawafahamu watu waliochoma moto ofisi za chama hicho.
Chadema kimetoa siku 4 kwa jeshi la polisi kuwachukulia hatua kali za kisheria watu hao watano na kama jeshi hilo litashindwa basi wao watawashulikia kikamilifu kwa kutumia Red brigade ya chama hicho.
Chadema imesisitiza kwamba watu waliochoma ofisi hiyo inawafahamu vizuri na kwamba itawashulikia kama vyombo vya usalama vitashindwa.
HABARI:KWA IHSANI YA HABARI MASAI

Blogger Comment
Facebook Comment