
Mbunge
wa Kigoma kaskani Mh Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Kigoma mara
baada ya Kuwasili kigoma asubuhi ambapoa wakazi wa kigoma wamejitokeza
kwa wingi kumpokea Mbunge wao

Zitto Kabwe akiwa katika gari la wazi mara baada ya kutua kigoma asubuhii ambapo amepata mapokezi ya kishindo
wafuasi wa Zitto kabwe wakiwa katika maandamano..

0 comments :
Post a Comment