HABARI
MPASUKO!!!.MASHITAKA YANAYOMKABILI SHEKH ILUNGA NI MATATU(1)KAULI YAKE
YA KUWA SERIKALI IMECHOTA MABILIONI NA KULIPA KANISA(2)KAULI YAKE YA
KUWA,NYERERE ALIWAUA WAISLAM ILI UKRISTO UTAWALE(3)KAULI YAKE YA
KUWA,AKIUWAWA SHEKH,AKAMATWE BADRI AUWAWE.TUHUMA ZOTE HIZI WAMEDAI
WANUKUU KTK CD ZAKE ALIZOWAHI KUZITOA.MASHARTI YA DHAMANA,(1)PASPOTI
YAKE(2)BARUA YA MTENDAJI AU MWENYEKITI IKIWA IMEAMBATANA NA KITAMBULISHO
CHA MTHAMINI.(3)MILIONI TATU KESH KWA KILA MDHAMINI,NA WADHAMINI NI
WAWILI.JUMLA NI MILIONI SITA.NA MARHARTI YOTE YAMEKAMILIKA NA YUPO NJE
KWA DHAMANA.NA KESI NI TR 16-0I-2014.
About Omari Makoo
0 comments :
Post a Comment