| Makamanda wa UVCCM ngazi ya kata wakijianndaa kula kiapo rasmi kuongoza gurudumu la Jumuiya ya Vijana, Morogoro Mjini. |
| Chipukizi wa Chama Cha Mapinnduzi pamoja na wageni wengine waalikwa katika Baraza la UVCCM wilaya ya Morogoro mjini. |
| Mwenyekiti wa UVCCM, Mhe. Salum H. Mkolwe akitoa hotuba iliyosheheni mikakati ya kuimarisha miradi ya jumuiya hiyo ya vijana. |
| Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma mjini, Hamis Zikatimu alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa. |
| Mjjumbe wa Mkutano Mkuu CCM taifa, Hassan Bomboko alikuwepo kuhakikisha itifaki inazingatiwa. |
| Katibu wa UVCCM Mkoa wa Morogoro, Nicodemus Tambo 'Kimeta Wa Mpui' akisifia utendaji kazi wa Mwenyekiti Mkolwe. |
| Katibu wa UVCCM Wilaya ya Morogoro mjini, I. S. Kinyoa alikuwa mshereheshaji mkuu katika hafla hiyo katika sehemu ya kwanza ya kikao cha wazi. |
| Mshindi wa mashindano ya kuandika insha Afrika Mashariki, Peter Robert Kilave akitambulishwa kwa hadhira. Kilave ni mwanafunzi wa shule ya kata. |
| Baadhi ya wanaharakati wakiwa na Kamanda wa UVCCM, Kata ya K/ndege, Mhe. Mohamed Matikula baada ya kuhitimisha kikao cha Baraza la UVCCM wilaya. |
0 comments :
Post a Comment