
MCHUNGAJI GODFREY SOMBI AKIWA NA PROFESA LIPUMBA JUKWANI

MCHUNGAJI GODFREY SOMBI AKISALIMIANA NA PROFESA LIPUMBA

MCHUNGAJI GODFREY SOMBI
Toka CHADEMA akikabidhiwa Kadi na Mwenyekiti wa CUF Profesa LIPUMBA kwenye Viwanja vya Ukombozi hapa Singida.
Hii ikiwa ni ziara ya mwenyekiti wa CUF profesa Ibrahim Lipumba katika Mchaka Mchaka Mpaka 2015 hivi sasa yuko Singida.
Pia Profesa Lipumba alifungua ofisi mpya ya CUF Wilaya Singida


Profesa lipumba akisalimiana na viongozi wa wilaya

Viongozi wa kitaifa na wakisalimiana na wenyeji wao

Bendera ya CUF ikipepea kuashiria kufunguliwa kwa ofisi

Profesa akiongea mawili matatu baada ya kufungua ofisi

Profesa akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa ofisi ya wilaya Singida

Ofisi iko tayari kwa matumizi
0 comments :
Post a Comment