
Utafiti uliofanywa na BUSTANI YA HABARI umegundua kwamba habari hii si ya kweli bali ni ya kutengenezwa kwani imekuwa ikijirudia kwenye mitandao mara kwa mara huku maeneo ya kutokea kwa tukio hilo yakibadilika.Picha hii ilionekana mtandaoni kwa mara ya kwanza mwaka 2012 mwezi august huku ikisadikika tukio hilo kutokea nchini China na hii leo imetumika picha hiyo hiyo kulipoti tukio hilo kutokea nchini Indonesia january mwaka huu wa 2013 pia website ya Hoax slayer imesema tukio hilo limetokea mwezi September 2012.
Blogger Comment
Facebook Comment