HII NI POST AMBAYO TUMEITOA FACEBOOK AMBAYO TUMEINUKUU KAMA ILIVYO KUTOKA KWENYE GROUP LA UISLAM & UKRISTU POST YENYEWE HIYO HAPO CHINI
Njoo uone matatizo ya kuwa na Mungu asiyekuwa Mungu wa kweli:
POLISI WAMTAFUTA ALOIBA MUNGU WA
BANIANIPOLISI Mkoa wa Mjini Magharibi
wanawatafuta watu waliomuiba Mungu
wa Mabaniani katika Jamat la Kiponda
mjini Zanzibar.Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Mjini Magharibi, Mkadam Khamis Mkadam, amethibitisha tukio hilo na
kusema wizi huo umefanywa mwishoni
mwa wiki iliyopita. Alisema wezi hao
walimuiba Mungu huyo bila kuvunja
mlango wala kufuli za Jamat hilo, hali
inayothibitishakwamba wizi huo umefanywa namiongoni mwa waumini
wa Jamat hilo: “Tunaendelea kuwatafuta
wezi wa Mungu
POLISI WAMTAFUTA ALOIBA MUNGU WA
BANIANIPOLISI Mkoa wa Mjini Magharibi
wanawatafuta watu waliomuiba Mungu
wa Mabaniani katika Jamat la Kiponda
mjini Zanzibar.Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Mjini Magharibi, Mkadam Khamis Mkadam, amethibitisha tukio hilo na
kusema wizi huo umefanywa mwishoni
mwa wiki iliyopita. Alisema wezi hao
walimuiba Mungu huyo bila kuvunja
mlango wala kufuli za Jamat hilo, hali
inayothibitishakwamba wizi huo umefanywa namiongoni mwa waumini
wa Jamat hilo: “Tunaendelea kuwatafuta
wezi wa Mungu
About Omari Makoo
0 comments :
Post a Comment