
Radio Imaan ambayo ilfungiwa kwa muda wa miezi sita tangu mwezi wa pili tarehe 26 ya mwaka huu wa 2013 hivyo leo ikwa ni tarehe 23 inamaana zimebaki siku 3 ili ifike tarehe 26 na kutimiza miezi 6 ya kifungo chake.Hivyo Radio Imaan itakuwa hewani tarehe 28 kama hakutokuwa na vikwazo vingine dhidi yao.Hivyo kwa wale wadau wa Radio Imaan kaeni mkao wa kula
0 comments :
Post a Comment