-->

HAYA NDIYO ALIYOYASEMA PROFFESOR IBRAHIM LIPUMBA DHIDI YA SERIKALI KATIKA KADHIA YA KUPIGWA RISASI KWA SHEKH PONDA

 Chama cha wananchi CUF kimemuomba rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kuchukua hatua juu ya vyombo vya dola vinavyoendeleza tabia ya kutumia vyombo vya moto kukabiliana na raia na kusababisha majeraha na hata kupelekea mauaji ya raia kwa kigezo cha kulinda amani.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la kupigwa risasi kwa sheikh Ponda Issa Ponda huko mjini Morogoro .
Aidha Profesa Lipumba amesema amefanikiwa kwenda kumuona katika hospital ya taifa Muhimbili na kusema amepigwa risasi bega la kulia.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment