Jeshi la polisi la Tanzania limeamua kuchukua maamuzi makali dhidi ya Shekh Ponda mabaye alikuwa anapatiwa tiba hospitali ya Muhimbili baada ya kupigwa risasi mkoani Morogoro kwa kumpeleka mgonjwa huyo wa jereha la risasi Segerea leo hii.Shekh Ponda alisomewa mashtaka yake hapo jana akiwa Hospitalini huku mwanasheria wake akiwa hayupo bofya hapa kwa habari ya kusomewa kwa mashtaka hayo
SHEKH PONDA APELEKWA SEGEREA PAMOJA NA KUWA BADO MGONJWA
Jeshi la polisi la Tanzania limeamua kuchukua maamuzi makali dhidi ya Shekh Ponda mabaye alikuwa anapatiwa tiba hospitali ya Muhimbili baada ya kupigwa risasi mkoani Morogoro kwa kumpeleka mgonjwa huyo wa jereha la risasi Segerea leo hii.Shekh Ponda alisomewa mashtaka yake hapo jana akiwa Hospitalini huku mwanasheria wake akiwa hayupo bofya hapa kwa habari ya kusomewa kwa mashtaka hayo
0 comments :
Post a Comment