Cristian Ronaldo mchezaji wa Real madrid,juzi katika mechi yao dhidi ya Chelsea walioweza kumtandika Chelsea bao 3-1 huku C.Ronaldo akitupia mabao 2 katika mchezo.Lakini hali ya C.Ronaldo katika mchezo ilionekana kutoluwa nzuri baada ya mchezo kani aliumia kwenye kifundo cha mguu na kusababisha maumivu makali kwenye mguu wake wa kushoto.

0 comments :
Post a Comment