-->

ALHAMDULILLAH SHEKH PONDA ANAENDELEA VIZURI,MSHUDIE KATIKA HAPA PICHA


  • Sheikh Ponda anaendelea vizuri na matibabu baada ya kujeruhiwa kwa risasi jana jioni mkoani morogoro. Picha hapa chini zinamuonesha sheikh Ponda akipata matibabu baada ya kupata jeraha la risasi kwenye bega lake la kulia katika moja ya hospitali chini ya uangalizi wa madaktari Waislamu.
    HABARI NA PICHA KWA IHSANI YA UAMSHO ZANZIBAR

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. Mungu akuafu shekh, na yaonekana hakuna wa kuwachukulia hatua wanaojichukulia sheria mkononi, hukustahili ulivyofanyia shekh, najua atakuja mtawamla mwema atayejali na kulinda haki za watu...tahura inshalla

    ReplyDelete