Mtangazaji wa clouds fm aliandika kwenye website yake kwamba dili la Shomary Kapombe ni feki na linatoka kwenye mtandao feki wa FC TWENTE lakini SUPERSPOT katika matandao wao pia wameandika kuhusu kuondoka kwa Kapombe katika klabu hiyo kwa ajili ya kufanyiwa majaribio na pia walisisitiza kwamba taarif hizo zinapatikana kwenye mtandao rasmi wa klabu hiyo ya FC TWENTE .
NA HIZI NDIO POST MBILI ZINAZOTOFAUTIANA KATI YA SHAFFIH DAUDA NA SUPERSPORT
NA HIZI NDIO POST MBILI ZINAZOTOFAUTIANA KATI YA SHAFFIH DAUDA NA SUPERSPORT
0 comments :
Post a Comment