-->

SHABIKI ATISHIA KUMUUA SUAREZ KAMA ATAIHAMA NA KWENDA ARSENAL

Suarez has been backed by the fans (©GettyImages)Mchezaji wa timu ya Liverpool iliyopo nchini Uingereza hapo  ametishiwa vikali kuuwawa na shabiki ambae ameonekana kuwa ni kipenzi cha mchezaji huyo na hayuko tayari kumuona mchezaji huyo anaondoka kwenda timu nyingine ambayo ipo Uingereza.Kupitia mtandao wa Twitter shabiki huyo aliweza kumtumia Suarez post hiyo ya vitisho
Kama alivyonukuliwa mmoja wa shabiki aliandika
One user tweeted Suarez: ‘If by any chance Liverpool do accept a bid, and you move, I will find you and I will kill you.'GIVE ME SPORT
Another fan wrote that he will hunt Suarez down and kill him if he leaves, adding that Arsenal should just f*** off.(DNA)
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment