-->

BREAKING NEWSSS:BENITEZ AFARIKI DUNIA

Ecuador striker Benitez dies aged 27FBL-MEXICO-AMERICA-CRUZ AZUL-FINALMchezaji wa watimu ya taifa ya Ecuado mwenye umri wa miaka 27 amabaye alishawahi kuichezea timu ya Birmingham aitwae Christian Benitez.
Mchezaji huyo ambae wiki tatu nyuma alisajiliwa kutokea Club America kwa ada ya $16 million  kwenda Qatari  katika timu ya El Najaish mchezaji huyo jina lake la utani ni Chucho amefariki dunia jumatatu ya leo hii 29/07/2013 kwa ugonjwa wa shambulio la moyo pamoja na maumivu makali katika tumbo ingawaje taarifa za awali zilisema kwamba amepata ajali ya gari na kufanya kusiwe na taarifa yenye kujitosheleza dhidi ya kifo chake.Mchezaji huyo mwenye kipaji adimu ambaye alikuwa mfungaje bora katika LIGA MX na amekuwa mstari wa mbele kwenye timu ya taifa kiasi cha kukaribia kucheza kombe la dunia nchini Brazil.
Nae mchezaji wa manchester united alizungumzia kuhusu msiba huo amabao umegusa nyoyo za wanamichezo na wadau mbali mbali
Antonio Valencia said"You'll always be my brother. This pain is hard, my brother, but we love you," the winger, who also played alongside the 27-year-old at El Nacional, posted on Twitter.
  itakumbukwa Christian Benitez alifunga bao 140katika mechi 303 alizocheza.
Kiwango cha mchezaji huyo kimekuwa cha kulikuwakinaongezeka kwa kasi kiasi cha msimu uliopita alipiga goli 30.
WASIFU WA MAREHEMU
C. Benítez
C. Benítez
Full Name: Christian Benítez
Date of Birth:May 1, 1986 (Age 27)
Place of Birth:Esmeraldas
Nationality:Ecuador
Height:168 cm.
Weight:68 Kg.
Position:Striker
Squad Number: 11
National Team Page: Ecuador
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment