KUTOKA NAFASI YA 22 AMBAYO ALIKUWEPO BRAZIL KATIKA TAKWIM ZA VIWANGO VYA SOKA VILIVYOTOLEWA MWEZI ULIOPITA,HATIMAE TIMU YA BRAZIL YAPAA MPAKA KUFIKIA NAFASI YA 9.KUPAA HUKU KUMECHANGIWA NA KUFANYA VIZURI KWA TIMU HIYO KATIKA KOMBE LA MABARA KWA KUCHUKUA KOMBE HILO NA HUKU TANZANIA IKIPOGA KURUDI NYUMA MPAKA NAFASI YA 121.
BRAZILI YAPAA KWENYE VIWANGO VYA SOKA KIDUNIA
KUTOKA NAFASI YA 22 AMBAYO ALIKUWEPO BRAZIL KATIKA TAKWIM ZA VIWANGO VYA SOKA VILIVYOTOLEWA MWEZI ULIOPITA,HATIMAE TIMU YA BRAZIL YAPAA MPAKA KUFIKIA NAFASI YA 9.KUPAA HUKU KUMECHANGIWA NA KUFANYA VIZURI KWA TIMU HIYO KATIKA KOMBE LA MABARA KWA KUCHUKUA KOMBE HILO NA HUKU TANZANIA IKIPOGA KURUDI NYUMA MPAKA NAFASI YA 121.
0 comments :
Post a Comment