Washinda mabao matatu dhid ya mabingwa wa dunia Hispania kwa kuwatandika kibano haswa cha mabao matatu kwa bila.Alfred alifungua mlango wa magoli,kisha Neymar akapiga bao la pili na baadae Alfred alipiga bao la tatu.Mpaka mwisho wa mchezo Brazil 3 Hispania 0
BRAZIL WAWA MABINGWA KOMBE LA MABARA TENA
Washinda mabao matatu dhid ya mabingwa wa dunia Hispania kwa kuwatandika kibano haswa cha mabao matatu kwa bila.Alfred alifungua mlango wa magoli,kisha Neymar akapiga bao la pili na baadae Alfred alipiga bao la tatu.Mpaka mwisho wa mchezo Brazil 3 Hispania 0
0 comments :
Post a Comment