Klabu ya Arsenal imethibitisha kutua kwa mchezaji Yaya Sanogo kutokea nchini Ufaransa ambae ameishindia goli tisa(9) klabu yake ya zamani katika mechi kumi tatu(13) alizocheza.Mchezaji huyo machachari inatabiriwa kuja na bahati ya kuiletea kombe Arsenal ambayo imekuwa timu yenye ukame wa vikombe kwa miaka takriban 8.Mchezaji huyu kwa sasa yupo kwenye timu ya taifa ya U-20 na tayari amekwishatupia bao mbili(2) katika goli tatu zilizopatikana na timu yake.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment