-->

MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 32 ACHOMWA KISU KWENYE FUVU LA KICHWA



Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 32, mkazi wa Wajir nchini Kenya aitwae Fatma Ibrahim amechomwa kisu ubavuni mwa fuvu la kichwa na mumewe baada ya kutoelewana kati yao.

Taarifa iliyoambatana na picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zinasema kuwa Madaktari wa Wajir walishindwa kumtibia mama huyo wa watoto wa 4 baada ya kugundua kuwa kisu kimenasa ndani ya fuvu la kichwa.

fuvu

Mumewe aliyefahamika kwa majina ya Mohamed Deeq, alimshushia kipigo cha haja kabla ya kumtundika na kisu.

Fatma alisafirishwa na shirika la AMREF mpaka mjini
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment