Haya ni majina ya washindi wa tuzo mbalimbali zilizotolewa usiku wa January 7, 2016
- Timu bora ya taifa ya mwaka kwa upande wa wanaume: Ivory Coast
- Timu bora ya taifa ya mwaka kwa upande wa wanawake: Cameroon
- Kocha bora : Herve Renard (aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Ivory Coast)
- Mchezaji bora kijana: Victor Osimhen (Nigeria)
- Mchezaji bora chipukizi:Etebo Oghenakoro (Nigeria)
- Fair play award (mchezaji muungwana): Allez Casa (Senegal)
- Klabu bora ya mwaka: TP Mazembe
- Mchezaji bora wa kike: Gaelle Enganamouit (Cameroon)
- Mwamuzi bora wa mwaka: Papa Bakary Gassama (Gambia)
- Wachezaji wakongwe: Charles Kumi Gyami (Ghana) na Samuel Mbappe Leppe (Cameroon).
0 comments :
Post a Comment