
1. Ingia www.youtube.com
2.tafta video unayoitaka then iplay
3.akat inaplay nenda juu kweny Url pale futa http://www. then weka ss
mfanao. http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter
4.iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!
5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
KAMA KWELI UMEELEWA JARIBU KUDOWNLOAD HII VIDEO
0 comments :
Post a Comment