-->

HAYA NDIO MANENO YA MWIGULU NCHEMBA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA

At 40 Years today, "Ni Mungu"; Namshukuru Mungu alinitambua ningalitumboni mwa Mama yangu.
Nawashukuru wazazi wangu kwa mambo yote, nawashukuru familia yangu, mke wangu Neema na watoto wangu Joshua, Gracious na Isaac kwa upendo, maombi na umhimu wao wa kipekee katika utumishi wangu na katika maisha yangu. Nawashukuru ndugu, jamaa na marafiki kwa maombi na kunitia moyo katika kuwatetea watanzania wanyonge.
Mungu awabariki wote.
"Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nami, ISRAEL na aseme sasa" Zab 124
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment