Home
/
Archive for
January 2016
ALIYOYASEMA YAYA TOURE KUHUSU MBWANA SAMATTA
Na Edo Kumwembe NILIKUWEPO ALIPOAMBIWA HIVI..... JUNE 2013....Taifa Stars ilikuwa inacheza na Ivory Coast pale Abidjan...Tulicheza vema s...
Read More
HAYA NDIO MATOKEO YA KIDATO CHA PILI YA MWAKA 2015
*************************** MATOKEO YA FORM TWO* ***************************
Read More
WANADIPLOMASIA WAMSHAURI OBAMA AKUTANE NA RAIS MAGUFURI
Wakati baadhi ya Wamarekani wakiendelea kumwangalia Rais Magufuli kwa kutumia jicho la curiosity, awe and wonder kwa kile anachokifanya k...
Read More
MBWANA SAMATTA ASEMA NAMNA RAISI MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ALIVYOCHANGIA KUFANIKIWA KWAKE
SAMATTA: Tuzo Yangu Nai-Dedicate Kwa Mh JAKAYA KIKWETE Mshindi wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika Anayecheza ndani ya mipaka ya bara hil...
Read More
ZITTO KABWE KAANDIKA MANENO HAYA BAADA YA SERIKALI KUTOTOA MAPOKEZI MAZURI KWA SAMATTA
Kuna namna za kuenzi vijana wanaoletea heshima Taifa. Tuna safari ndefu sana. Watawala wangejua 'airtime' ambayo Samatta kaipa Tan...
Read More
TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA IJUMAA 08.01.2016
Real Madrid wanatazama uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane, 22, katika mradi wao wa kujenga upya timu (Daily Te...
Read More
RAIS WA GABON AANDIKA MANENO HAYA KWA SHUJAA WAO AUBAMEYANG
Wakati watanzania wakiwa wanasubiria kusikia Rais Mgufuri atasema nini kuhusu Mbwana Samatta aliyetoa tuzo ya mchezaji bora wa ndani ya Af...
Read More
MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 32 ACHOMWA KISU KWENYE FUVU LA KICHWA
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 32, mkazi wa Wajir nchini Kenya aitwae Fatma Ibrahim amechomwa kisu ubavuni mwa fuvu la kichwa na m...
Read More
HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO NYINGINE ZA GLO CAF AWARDS UKIACHANA NA SAMATTA
Haya ni majina ya washindi wa tuzo mbalimbali zilizotolewa usiku wa January 7, 2016 Timu bora ya taifa ya mwaka kwa upande wa wanaume : ...
Read More
HIKI NDIO KIKOSI BORA CHA MWAKA 2015 BARANI AFRIKA,SAMATTA NAE YUMO
Kikosi bora cha mwaka 2015 #TuzozaCAF KIPA: Robert Muteba KIDIABA (DR Congo) MABEKI: Serge AURIER (Cote d’Ivoire), Aymen ABDENNOUR (Tu...
Read More
HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA THOMAS ULIMWENGU BAADA YA MBWANA SAMATTA KUBEBBA TUZO YA MCHEZAJI BORA
Thomas Ulimwengu ‘Drogba wa Dodoma’ amejikuta akishindwa kutoa neno kwa pacha wake Mbwana Samatta, kutokana na furaha aliyokuwa nayo baa...
Read More
MBWANA SAMATTA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRICA KWA WANAOCHEZA NDANI YA AFRICA
Mbwana Samatta ndio jina liliotajwa zaidi kwenye vinywa vya watanzania wengi na Afrika kiujumla ndani ya masaa kadhaa yaliyopita – baada ...
Read More
HIZI NDIO MAANA ZA ALAMA MBALIMBALI ZA MOBILE NETWORK
: Guys watu wengi hua mnasikia terminologies yani 2G, 3G Mara H, H+ au E etc, je maana yake ni nini kwenye network? Kwa kifupi ni speed...
Read More
HIZI NDIO TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA- JUMATANO HII YA TAREHE 06.01.2016
*Real wamtaka Hazard *Aubameyang kwenda Arsenal? *Juventus wamsaka Herrera Real Madrid wapo tayari kutoa pauni milioni 100 kumsajili E...
Read More
KISA CHENYE MAFUNZO
Mwalimu mmoja aliita wanafunzi wake akawaambia''Kesho kila mwanafunzi aje na nyanya kulingana na idadi ya watu anaowachukia, Yani ka...
Read More
HII NDIO CT SCAN MPYA ILIYOPELEKWA MUHIMBILI
Machine mpya ya CT SCAN imekabidhiwa katika hospitali ya Muhumbili.Mashine hiyo inasemekana INA uwezo wq kupima watu 100 kwa siku... Kwa ta...
Read More
MLINZI WA LOWASA AFUTWA KAZI KWENYE KITENGO CHA USALAMA WA TAIFA
Aliyekuwa mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi. Kwa mujib...
Read More
HAYA NDIYO MAAJABU YA UYOGA KWENYE KUREJESHA KINGA ZA MWILI
Kwa kawaida kinga ya mwili ndiyo kila kitu kinachouendesha mwili hasa katika kuulinda usishambuliwe na magonjwa ya aina mbalimbali. M...
Read More
THOMAS ULIMWENGU KUMFUATA SAMATTA,HUENDA AKAJIUNGA UFARASA AU UTURUKI,DILI ZIMA HILI HAPA
Wakati AS Saint-Étienne wakiwa wameweka offer mezani kwa TP Mazembe ya kumtaka Thomas Ulimwengu, mashabiki wa Besiktas FC wameingiwa na...
Read More
BALOZI SEIF ALI IDDI ATOA MAELEZO KUHUSU MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KWA WANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE VUGA.
Na Khadija Khamis – Maelezo 02/01/2016 Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema kuwa Maadhimisho ya Shereha za Miaka 52 ya Mapinduzi y...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)