-->

SUAREZ ASAJILIWA BARCELONA KWA MKATABA WA MIAKA MINNE

Official: Barcelona sign SuarezMchezaji machachari mwenye umri wa miaka 19 ambaye alitabiriwa kuweza kurejea katika klabu za nchini kwake Hispania aitwae Denis Suaez ambaye anaichezea timu ya Manchester city  na pia timu ya under 20 ya Hispania amesajiliwa rasmi na timu ya Barcelona kwa ada ya €12 million na ataweza kuuzwa kwa ada ya €35m kama atakuwa na uwezo mkubwa kadri atakavyo kuwa anajitahidi kucheza akiwa klabuni hapo kiasi cha kupelekwa Barcelona A kwani Mchezaji huyu atakuwa anacheza Barcelona B kwa sasa.Denis Suarez amesaini mkataba wa miaka minne kwa ajili ya kuichezea timu hiyo
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment