Hili ni sanduku ya aliyekua Mfalme wa Roma(self-appointed Roma king),Florin
Cioaba aliyefariki wiki moja iliyopita kwa mshtuko wa moyo huko
Uturuki. Sanduku lake lilikua na Kiyoyozi kama lionekanavyo pichani.
Hivi
karibuni watanzania tulishangazwa pale tulipoona sanduku la Billionea wa
Arusha ambalo lilikua likifunguliwa kwa 'Remote Control'. Nadhani
sanduku hili pia litawashangaza wengi.
habari na udakuasilia
0 comments :
Post a Comment