Leo kumekuwa na tetesi za kutua kwa mchezaji nyota Real madrid katika timu ya Manchester united na kusemekana kwamba maneno hayo yamethibika kupitia MU TV...Tizama hapa chini kuona tweet inayoelezea tetesi hiyo ya kuwasili kwa Cristian Ronaldo kwenye club ya Manchester united
BAADA YA KUIFUATILIA HABARI HII KWA UNDANI IMEGUNDULIKA KWAMBA SI ZA KWELI KWANI TULIPITIA MU TV NA HAKUNA KILICHOANDIKWA KINACHOHUSIANA NA KUWASILI KWA RONALDO MANCHESTER UNITED
BAADA YA KUIFUATILIA HABARI HII KWA UNDANI IMEGUNDULIKA KWAMBA SI ZA KWELI KWANI TULIPITIA MU TV NA HAKUNA KILICHOANDIKWA KINACHOHUSIANA NA KUWASILI KWA RONALDO MANCHESTER UNITED
0 comments :
Post a Comment