Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Sheikh Ponda hospitali ya muhimbili....
Watu wengi waenda muhimbili kumuona sheikh Pondaaliyelazwa
hospistalini humo. Kutokana na wingi wao ilibidi wapange foleni ili
kuepuka usumbufu wa kuingia wote kwa pamoja kwasababu ya uwingi wao.
0 comments :
Post a Comment