Ikumbukwe kuwa Gareth Bale alinunuliwa na Totthenham kutokea Southampton na akawa na wakati mgumu katika kikosi cha Totthemham kiasi cha kutaka kuuzwa kwenda Birmingham kwa ada ya paundi milioni 3 lakini leo hii atakuwa ndie mchezaji akienunuiwa kwa pesa ya hali ya juu kuliko mchezaji yoyote yue katika rekodi ya dunia.

0 comments :
Post a Comment