Timu ya taifa ya Morocco itavaana na Taifa Stars ikiwa ni mechi ya mareano baada ya Morocco kupigwa bao tatu kwa moja na Taifa Stars.Taifa starz itakuwa imejiweka kwenye nafasi ya kuweza kupita katikakundi lake kama itaweza kushinda mechi ya leo.Taifa stars itakuwa na wachezaji nyota wake woote katika mchezo huo.
KILA LA HERI TAIFA STARS KATIKA MECHI YA LEO
0 comments :
Post a Comment