BAADA YA KAULI HII KILA MWANAARUSHA ALIINUA MACHO NA KUSEMA EEH MUNGU HATUTARUDIA MAKOSA TENA KUICHAGUA CHADEMA.
NI KAULI INAYOMUINGIA KILA MTANZANIA KWA NAFASI YAKE,NI KAULI YA MOTO KWA YEYETO ANAYEDHANI CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA.
Click image for larger version. Name: DSC07474.JPG Views: 0 Size: 116.5 KB ID: 100186
Kwenye kampeni za uchaguzi wa udiwani huko Arusha,Hii ndio kauli iliyowadhoofisha sana CHADEMA hasa wanachama wao.
Ni kauli aliyoisema Mh.Mwigulu Nchemba akihushanisha Helkopta na
Umasiki wa watanzania.Naomba kuiweka kama ilivyokuwa inatamkwa na Mkubwa
huyo anayeongoza kujadiliwa na wanasiasa na wanachama wa vyama vya
siasa vya upinzani na hata tawala.
"Wanatembea kwenye majukwaa
wanalalamika kuwa CCM na serikali yake imewafanya watanzania kuwa
masikini,Yaani lawama wanazitengeneza wao na wanatumia kuwaibia
wanaowahutubia.Hawa ndio CHADEMA.Naomba kutolea mfano wa jambo dogo
tu,Hawa wanaojiita CHADEMA wameamua kuzindua kampeni kwa HELKOPTA.Uongo
kweli??wananchi wanaitikia kweliiiiiii..!!!
Hiii ni mikogo tu,mikogo
tu kwa wananchi.Yaani nchi hii yenye barabara za kiwango cha rami
karibia mikoa yote imeunganishwa na rami kwa serikali ya CCM lakini wao
kwa mikogo tu wanaamua kutumia Helkopta.
Ndugu wananchi kwa muda wa
masaa 2 helkopta kutembea angani inatumia zaidi ya Milioni 2 hadi
6.Yaani kwa tangu waanze kampeni hadi wanafunga watakuwa wametumia zaidi
ya milioni 200 kwaajili ya Helkopta.Hiki ni chama cha upinzani chenye
lengo la kushika dola.
Wakitua kwenye Helkopta yao wanapanda jukwaani na kuanza kusema CCM ni wafujaji wa kodi za wanachi,CCM imewapa umaskini.
Chaa ajabu hao hao wanaosema CCM imewafanya wananchi wawe
maskini,mwisho wa mkutano wanapitisha boksi na bakuri kuomba miamia
zenu.Yaani wanaamua kula hadi miamia zetu licha ya kujua kama nyie ni
masikini.
Kama wangekuwa ni wakombozi wangekomba hadi hizo miamia zenu?Hawa ni wakombozi...?
Wakisha omba hizo miamia zenu,wanapanda kwenye Helkopta
wanakwenda.Mkombozi gani anatumia milioni zaidi ya 200 kuzunguka na
helkpota kwa mikogo tu(Ufujaji wa ruzuku ya chama,ufujaji wa fedha za
michango ya wananchi).
Sasa nauliza hao ni wakombozi?Mkombozi
anatembea na Helkopta kwa milioni 200,akishuka anaomba miamia zenu
kwaajili ya kuzunguka na Helkopta angani.
Hizo milioni 200
wangeamua kugawa vikundi angalau 10 tu hapa Arusha wakaamua kununua boda
boda zaidi ya 30 au wakafungua mfuko wa kukopa na kukopeshana kwa hizo
fedha.Nawahakikishieni wangevuna kura nyingi sana kwa sababu wanafanya
maendeleo yanayoonekana.Uongo kweliiiiiii??
Sasa mkombozi gani
anafuja milioni 200 kwa starehe zake,wakati barabara zipo na magari
wanayo.Wakishuka kwenye hizo starehe zao mnawachangia miamia zenu
mlizolimbikiza za kusomeshea watoto au kupata mlo mmoja.
Hawa si ndio wanakufanya uwe maskini zaidi???wananchi wanaitikia ndiooooooooooooooooooo.Kunamko mbozi hapo???
"Mungu anasema,wananchi wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Mh.Mwigulu Lameck Nchemba moja ya sentensi zake kwenye kwenye kampeni huko Arusha
NI KAULI INAYOMUINGIA KILA MTANZANIA KWA NAFASI YAKE,NI KAULI YA MOTO KWA YEYETO ANAYEDHANI CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA.
Click image for larger version. Name: DSC07474.JPG Views: 0 Size: 116.5 KB ID: 100186
Kwenye kampeni za uchaguzi wa udiwani huko Arusha,Hii ndio kauli iliyowadhoofisha sana CHADEMA hasa wanachama wao.
Ni kauli aliyoisema Mh.Mwigulu Nchemba akihushanisha Helkopta na Umasiki wa watanzania.Naomba kuiweka kama ilivyokuwa inatamkwa na Mkubwa huyo anayeongoza kujadiliwa na wanasiasa na wanachama wa vyama vya siasa vya upinzani na hata tawala.
"Wanatembea kwenye majukwaa wanalalamika kuwa CCM na serikali yake imewafanya watanzania kuwa masikini,Yaani lawama wanazitengeneza wao na wanatumia kuwaibia wanaowahutubia.Hawa ndio CHADEMA.Naomba kutolea mfano wa jambo dogo tu,Hawa wanaojiita CHADEMA wameamua kuzindua kampeni kwa HELKOPTA.Uongo kweli??wananchi wanaitikia kweliiiiiii..!!!
Hiii ni mikogo tu,mikogo tu kwa wananchi.Yaani nchi hii yenye barabara za kiwango cha rami karibia mikoa yote imeunganishwa na rami kwa serikali ya CCM lakini wao kwa mikogo tu wanaamua kutumia Helkopta.
Ndugu wananchi kwa muda wa masaa 2 helkopta kutembea angani inatumia zaidi ya Milioni 2 hadi 6.Yaani kwa tangu waanze kampeni hadi wanafunga watakuwa wametumia zaidi ya milioni 200 kwaajili ya Helkopta.Hiki ni chama cha upinzani chenye lengo la kushika dola.
Wakitua kwenye Helkopta yao wanapanda jukwaani na kuanza kusema CCM ni wafujaji wa kodi za wanachi,CCM imewapa umaskini.
Chaa ajabu hao hao wanaosema CCM imewafanya wananchi wawe maskini,mwisho wa mkutano wanapitisha boksi na bakuri kuomba miamia zenu.Yaani wanaamua kula hadi miamia zetu licha ya kujua kama nyie ni masikini.
Kama wangekuwa ni wakombozi wangekomba hadi hizo miamia zenu?Hawa ni wakombozi...?
Wakisha omba hizo miamia zenu,wanapanda kwenye Helkopta wanakwenda.Mkombozi gani anatumia milioni zaidi ya 200 kuzunguka na helkpota kwa mikogo tu(Ufujaji wa ruzuku ya chama,ufujaji wa fedha za michango ya wananchi).
Sasa nauliza hao ni wakombozi?Mkombozi anatembea na Helkopta kwa milioni 200,akishuka anaomba miamia zenu kwaajili ya kuzunguka na Helkopta angani.
Hizo milioni 200 wangeamua kugawa vikundi angalau 10 tu hapa Arusha wakaamua kununua boda boda zaidi ya 30 au wakafungua mfuko wa kukopa na kukopeshana kwa hizo fedha.Nawahakikishieni wangevuna kura nyingi sana kwa sababu wanafanya maendeleo yanayoonekana.Uongo kweliiiiiii??
Sasa mkombozi gani anafuja milioni 200 kwa starehe zake,wakati barabara zipo na magari wanayo.Wakishuka kwenye hizo starehe zao mnawachangia miamia zenu mlizolimbikiza za kusomeshea watoto au kupata mlo mmoja.
Hawa si ndio wanakufanya uwe maskini zaidi???wananchi wanaitikia ndiooooooooooooooooooo.Kunamko
"Mungu anasema,wananchi wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Mh.Mwigulu Lameck Nchemba moja ya sentensi zake kwenye kwenye kampeni huko Arusha
About Omari Makoo
0 comments :
Post a Comment