Timu ya Simba yatangaza rasmi kwamba hawatashiriki kwenye kombe hilo la CECAFA linalofahamika kama KAGAME.Simba wamegomea kushiriki kombe kwa madai ya kuhofia amani kwa wachezaji wake kwani hali Darfuu bado si shwari na pia wamesema wanafuata ushauri wa waziri wa mambo ya nje Mh Bernad Membe ambae alitoa ushauri huo pale alipozungumza bungeni siku ya juma mosi.
Hata hivyo CECAFA wamesisitiza kwamba eneo hilo ni salama na hawatabadili eneo hilo kwani wamejiandaa vya kutosha kuhusu swala la usalama wa wachezaji.Simba wamesema kwamba CECAFA si srikali kiasi cha kusema wanauwezo wa kutosha wa kuwapatia usalama wachezji hao kwani Tanznia ina vikosi vyake vya wanajeshi huko Darfuu lakini Waziri wa mambo ya nje bado alisisitiza kwamba hawapaswi kwenda huko kwani amani haipo huko Darfuu

0 comments :
Post a Comment