Kwenye jiji la Dar es salaam leo wanamgambo walifanyakamata kamata ya madada poa ambao huuza miili ikiwa kama sehemu ya kujikimu kimaaisha.Madada hao ambao walichukuliwa wakiwa nusu uchi na wanamgambo hao walipakiwa ndani ya gari na kupekwa polisi.Picha zingine za machangudoa hao tumeshindwa kuziweka kutokana na sababu za kimaadili
MAKAHABA WABEBWA NA MGAMBO SINZA

0 comments :
Post a Comment