Hapo jana mkoani Arusha kulikuwa na mkutano wa kufunga kampeni wa CHADEMA wa juu wa CHADEMA.Muda mfupi kabla ya kuisha kwa shughuli hizo mliko mzito ulilipuka na kusababisha vifo vya baadhi ya watu na wengine kujeruhiwa.Bado haijafahamika ni nani muhusika wa mlipuko huo ila vyombo vyenye maamlka huska ndivyo vinyosubiriwa kutoa taarifa kuhusiana na tukio hilo.
KWA IHSANI YA WAVUTI, PAMOJAPURE, PATAPICHA NA MPEKUZI
KWA IHSANI YA WAVUTI, PAMOJAPURE, PATAPICHA NA MPEKUZI


majeruhi wa mlipuko huo uliotokea mkoani Arusha akipatiwa tiba na madaktari
Gari ya kubebea wagonjwa ilivunjwa kioo na wananchi wenye hasira kali kwa madai ya kuchelewa kufika kuja kuchukua majeruhi wa ajali hiyo ya mlipuko wa kitu kinchosemekana kuwa ni bomu lilotegwa maeneo ya karibu na gari la matangazo
Mheshiwa Freeman Mbowe akiingia kwenye viwanja vya kampeni vya Soweto jijini Arusha tayari kwa kampeni kabla ya kutokea kwa mlipuko huo
kw taarifa tulizopata ni kwamba watu wawili wamefariki dunia kutokana na mlipuko
0 comments :
Post a Comment