PICHA ZA MAPOKEZI YA MWILI WA MANGWEAR MKOANI MOROGORO Omari Makoo 3:13 PM Edit Msafara wa kupokea mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya leo MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA. Habari Kwa ihsani ya mpekuzi Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Omari Makoo RELATED POSTS
0 comments :
Post a Comment